Expired

Payout
0.01 ETH

$2.48

Remaining Balance
0.2 ETH

$49.60

🌊 Bounties for the Oceans Tanzania Cleanup 🌍

Tanzania

BFTO

social impact

Description

We are continuing our mission to redesign environmental impact and address the state of our oceans by incentivizing plastic cleanup action on a local and global level.

A new cleanup activation is happening this weekend in Tanzania and we are rewarding cleanup efforts with ETH. A local exchange mechanism will be used to enable the exchange of ETH into local TZS.

Tanzania Cleanup

Location: Njombe, a 40000 people town in the southern highlands of Tanzania
Date: 21st September 2019
Partners: Bounties Network, SHIPO Smart Centre Tanzania - Njombe Beyond project, Lets do it, Njombe Town Council, Pamoja Environmental Focus and Copasdo.

Definition of Done & Requirements

  • Download MetaMask mobile on your phone by using this link - it will work on Android & iOS and will open the app or redirect to the respective store if the app is not installed.
  • Once you get your public address (0x………), get some crypto for gas from Unai
  • Take a photo of yourself with one of the organizers, and the trash you've picked up during the cleanup on Saturday
  • Share photo on social media* (Facebook or Instagram) tagging @ethbounties + #BountiesfortheOceans
  • Clicking the Green Fulfill button on the bounty and insert link to your post
  • The photo must be taken at the cleanup site in Njombe

*If you do not have a social media account, just take photo and generate a share link to it within your phone. This is the link you will then use to complete the bounty

Things to Note

This bounty is ONLY open to participants at the Njombe cleanup on 21st Sept 2019.

Maelezo

Tunaendelea na malengo yetu ya kuboresha mazingira, na kuonyesha hali ya bahari yetu kwa kuhamasisha usafishaji wa bahari kuondoa plastic ngazi ya kitaifa na kimataifa.
Maadhimisho ya usafi yanafanyika wikiendi hii Tanzania,na tunazwadia juhudi za usafi kwa mfumo wa ETH. Njia za kawaida zitatumika kubadili mfumo wa ETH kwenda pesa ya kawaida ya kitanzania.

Usafi Tanzania

Mahali: Njombe,mji wenye wakazi 40,000 nyanda za juu kusini Tanzanitarehe
21 Septemba 2019
Wahisani : Bounties Network, SHIPO (SMART CENTER Tanzania), Njombe beyond project, Lets do it, Halmashauri ya mji Njombe ,Pamoja environmental focus na Copasdo.

Jinsi ya kufanya na vitakavyoohitajika

• Download application ya metamask kwenye simu yako ya mkononi kupitia link hii (http//www.bounties.com ),Inafanya kazi kwenye android and iOS na itafunguka au kukupaleka kwenye kurasa husika kama application hautafunguka.

• Ukipata anuwani yako mfano (Ox………),utapata CRYPTO kutoka UNAI.

• piga picha yako ukiwa na mmoja ya waandaaji wa tukuo ukiwa na mfuko wa takataka ulizoziokota siku ya usafi jumamosi.

• Sambaza picha hiyo kwenye mitandao ya kijamii kama facebook au Instagram na kuwatambulisha (kuwatag) @ethbounties na #bountiesfortheoceans*

• Bonyeza kitufe cha kijani kwenye bounties na uweke link kwenye post yako.

• Picha inatakiwa kupigwa kwenye sehemu ya usafi Njombe.

*kama haupo kwenye mitandao ya kijamii piga picha na tengeneza link ya kusambazia katika simu yako,hiyo ndio link utakayatumia kukamilisha bounty(zawadi)

Angalizo

Zawadi hii (bounty) itatotolewa tu kwa washiriki watakaofanya usafi Njombe siku ya terehe 21 septemba 2019.

81views
a yearexpired
Beginnerdifficulty
0 revisionsexpected

Submissions

14

Comments

0

Submissions are private

The submissions for this bounty have been set to private.